1 Kings 2:12

12Kwa hiyo Sulemani akaketi katika kiti cha ufalme cha baba yake Daudi, nao utawala wake ukaimarika sana.

Kiti Cha Ufalme Cha Sulemani Chaimarishwa

Copyright information for SwhKC